Men's suit
Clothes

Men's suit

Price

TZS 180,000

About this product

Quality suit Quality fabric (kitambaa bora) Suit yenye kitambaa kizuri muonekano na kisicho Pauka, karibu mnunuzi tukupatie suit yenye muonekano mzuri wa kipeke uendele kuwa na muonekano mpya zaidi

Return Policy

Mnunuzi wetu anaruhusiwa kubadilisha size ya Bidhaa alioagiza endapo itakua kubwa ama itakua ndogo kulingana na bidhaa husika tunawapenda na tunawathamini sana wanunuzi wetu asante.

🏪 Sold by