
Home Items
ANGEL'S MULTI-PURPOSE SOAP
Price
TZS 10,000
About this product
Angel's multi-purpose liquid soap! Ni sabuni nzuri ya maji kwa ajili ya matumizi yote ya usafi wa ndani, ni nzuri hasa kwa kufulia nguo 1. Haichubui mikono 2. Ina povu la kutosha 3. Harufu nzuri na tulivu Ipo kwenye ujazo wa lita 1, 3 na 5
Return Policy
No
🏪 Sold by
